Font Size
Yohana 18:13-14
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yohana 18:13-14
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
13 nao wakampeleka kwanza kwa Anasi, baba mkwe wa Kayafa. Kayafa alikuwa Kuhani Mkuu kwa mwaka huo. 14 Naye ndiye aliyewashauri viongozi wengine wa Kiyahudi kwamba ingemfaa mtu mmoja afe[a] kwa ajili ya watu wote.
Read full chapterFootnotes
- 18:14 mtu mmoja afe Kifo cha Yesu kilikuwa kwa ajili ya watu wote wa ulimwengu siyo kwa Wayahudi peke yao.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
Copyright © 2017 by Bible League International